Kaskie Vibaya ft. Ssaru
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Kaskie Vibaya ft. Ssaru - Fathermoh
...
aha ssaru aha mooi Ati chemichemi za uongo stori za jaba ndo utingize ubongo ndo ubebe ka waletiki za kamongo baribaribarabaraba na maringo (ringoo) nikona pesa kushinda babakoo kaskie vibaya uko kwenu(kaskie kaskie)kaskie vibaya uko kwenu(aai wewe)kaskie vibaya uko kwenu aah nikona pesa na ni za babakoo kaskie vibaya uko kwenu(kaskie kaskie) kaskie vibaya uko kwenu kaskie vibaya uko kwenu aah nilifika Jiji nikakutana na budako akaniambia ka ni vako hapendangi za mamako (how) kisirisiri tukakutana kwako ni click click bheng tu juu ya kitanda chako aah hamna, hela ni nyi mnate seka ni nyi unalipa madeni na pochi Yako miaka ni ishirini uko chini sitini na mneti unatuvunjia mgongo ulinipa ka chance na nikapita nako ulipo nipiga intro siku ya introduction anani finance na school fees zako alinipeanga info kwanza ye si babako unapenda wababa huonei watoto wako huruma, one short na kwani hupendi utamu wa nduma pesa hukutekenyatekenya sana we rudi ukakune wababa wa duruma nikona pesa kushinda babakoo kaskie vibaya uko kwenu(kaskie kaskie)kaskie vibaya uko kwenu(aai wewe)kaskie vibaya uko kwenu aah nikona pesa na ni za babakoo kaskie vibaya uko kwenu kaskie vibaya uko kwenu kaskie vibaya uko kwenu najua unaskia vibaya mi vibaya eeh vibaya nenda zako si naenda kwenu kwetu wapi Kwa babako mi sikutusi lakini kudadadeki sikudharau lakini we hudunga ndula feki uso marangi uko sure hauniseti kekenbeki ni quality za fensi Ati chemichemi za uongo stori za jaba ndo utingize ubongo ndo ubebe ka waletiki za kamongo baribaribarabaraba na maringo (ringoo) nikona pesa kushinda babakoo kaskie vibaya uko kwenu(kaskie kaskie)kaskie vibaya uko kwenu(aai wewe)kaskie vibaya uko kwenu aah nikona pesa na ni za babakoo kaskie vibaya uko kwenu(kaskie kaskie) kaskie vibaya uko kwenu kaskie vibaya uko kwenu
Similar Songs
More from Fathermoh
Listen to Fathermoh Kaskie Vibaya ft. Ssaru MP3 song. Kaskie Vibaya ft. Ssaru song from album Kaskie Vibaya is released in 2023. The duration of song is 00:02:37. The song is sung by Fathermoh.
Related Tags: Kaskie Vibaya ft. Ssaru, Kaskie Vibaya ft. Ssaru song, Kaskie Vibaya ft. Ssaru MP3 song, Kaskie Vibaya ft. Ssaru MP3, download Kaskie Vibaya ft. Ssaru song, Kaskie Vibaya ft. Ssaru song, Kaskie Vibaya Kaskie Vibaya ft. Ssaru song, Kaskie Vibaya ft. Ssaru song by Fathermoh, Kaskie Vibaya ft. Ssaru song download, download Kaskie Vibaya ft. Ssaru MP3 song
Comments (296)
Top Comments (1)
yentih starlet
New Comments(296)
Nice Jerry
If you have Ecobank account or Moninpoint account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2349166580100
njooke
Moshatha kunaboo... .mnibuyie kreddo Mpesa 0759382846 Wagwan
Centa wick
[0x1f63f][0x1f63f]
#strongkadavis
pesa za mzae ,,,,mnanimaliza
153279592
Best Song
anittah wanga
make it work for you
Samini Baraka
nakupenda
kasikie vibaya ukokwenye ni kupenda[0x1f641][0x1f642][0x1f647]
Mauti8wddt
kaskie vibaya kwenu wenye wivu[0x1f602][0x1f602][0x1f602]
bonkegrgmz
baba yangu hana doo
Badman Ramos 960sn
kaskie vibaya uko kwenu [0x1f602][0x1f602]
Dê Cj
me naskia vizurii[0x1f602][0x1f602][0x1f602]
ati kaskie vibaya[0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623][0x1f623]>