Loading...

Download
  • Genre:Reggae
  • Year of Release:2023

Lyrics

Baada ya kufeli chuo maisha yangu yamekuwa magumu nyumbani, natumika kama msukule nyumbani hawanijali tena sina thamani, mama haniiti jina langu naitwa ngombe, bila makosa napigwa makonde, chakula kichungu matonge nahesabiwa, baba nae ananiita mimi kenge, sina furaha yani hata chembe, naonekana mzembe katika dunia, mdogo wangu akilia naambiwa nimemfinya, nikijibu ni makosa na nisipojibu nimekosea, kikao cha familia hoja siwezi kuchangia, nikitaka kuchangia naambiwa naanzisha fujo, Nyumbani nahama (nahama), naenda kupanga chumba changu, nyumbani nahama (nahama) naenda kuanza maisha yangu, mi nyumbani nahama (nahama) naenda kupanga chumba changu, nyumbani nahama (nahama) naenda kuanza maisha yangu


Jamani kuku wanafugiwa chumbani kwangu, wanakunya mpaka kwenye kitanda changu, makorokoro yote chumbani kwangu wanafanya ndio store, na marufuku kutoa madukuduku yangu nafanyiwa ukauzu na wazazi wangu, nikiuliza ninajibiwa kama kweli we kidume hama, kufeli chuo sio kufeli life ila wao hawajui hii, mwenzenu naamshwa kwa kumwagiwa maji kila siku asubuhi iii, na mimi wala sikufanya kusudi kupataga sifuri iii, jama wazazi wananitesa sana kama hawanitambui iii, dharau sipendi nawaachia nyumba yao nahama, naenda kusaka vya kwangu kuna siku tutaheshimiana, mi nahama


Nyumbani nahama (nahama), naenda kupanga chumba changu, nyumbani nahama (nahama) naenda kuanza maisha yangu, mi nyumbani nahama (nahama) naenda kupanga chumba changu, nyumbani nahama (nahama) naenda kuanza chumba changu


Nyumbani nahama (nahama), naenda kupanga chumba changu, nyumbani nahama (nahama) naenda kuanza maisha yangu, mi nyumbani nahama (nahama) naenda kupanga chumba changu, nyumbani nahama (nahama) naenda kuanza chumba changu

Listen to Haccah Songs Haccah Songs-Nahama MP3 song. Haccah Songs-Nahama song from album Haccah Songs-Nahama is released in 2023. The duration of song is 00:03:42. The song is sung by Haccah Songs.

Related Tags: Haccah Songs-Nahama, Haccah Songs-Nahama song, Haccah Songs-Nahama MP3 song, Haccah Songs-Nahama MP3, download Haccah Songs-Nahama song, Haccah Songs-Nahama song, Haccah Songs-Nahama Haccah Songs-Nahama song, Haccah Songs-Nahama song by Haccah Songs, Haccah Songs-Nahama song download, download Haccah Songs-Nahama MP3 song

Comments (1)

0/500

    New Comments1

    ibrahim3vax1

    content[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d]

    Tanzania

    +

        -   or   -

        -   or   -

        NG +234

            Please Select A Playlist

            Add New Playlist

            Share on

            Embed: Love & Light EP

            Custom Size :

            • Default
            • Desktop(300*600)
            • Mobile(300*250)

            Type :

            • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
            Get Boomplay Premium
            for
            Payment Method
            Pay With
              Review and pay
              Order Date
              Payment Method
              Due Today
              Flutterwave
                Subscription Successful

                Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

                Now you have access to all the features of Boomplay App.
                Payment Failed

                Please check your balance and then try again.

                You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
                Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
                Payment Processing...
                10 s

                Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

                Payment Processing
                Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
                About Order Status