Ni Wewe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Ni Wewe - Jay Ruff
...
Yesu umeniponya moyo. UkanitwiKa godoro. Na tena ukaondoa migogoro, Bwana weeh . Ulinipata kwa vichochoro. Nimejawa na kasoro. Ukanifungua minyororo. Bwana weeh. Ulinipata naranda randa tena natanga tanga. Usiku kucha nahanya hanya eeh bwana weeh. Ukanionyesha kazi ya msalaba sasa kwako niko salama. Unanifanya nang'ara ng'ara eeh bwana weeh . CHORUS Na tena nilisota nikakopa na.. Nganya sikupanda ila... Bwana hukuniacha mieeh..×2 Ni wewe..ni wewe..ni wewe Magonjwa yaki nigonga ninajuwa kweli kitulizo Ni wewe...ni wewe...ni wewe Mashida zikinisonga ninajuwa kweli kimbilio Ni wewe. VERSE 2 Nilichakaa rumors za uongo zilisambaa. Nilikosa raha mtaani wengi walishangaa. Kula kulala ni kama ndege. Mara nikaitwaga mbeba zege. Sina yeyote nani anitetee, Yesu niokoee..×2 Ukanionyesha kazi ya msalaba sasa kwako niko salama. Unanifanya nang'ara ng'ara eeh bwana weeh . Na tena nilisota nikakopa na.. Nganya sikupanda ila... Bwana hukuniacha mieeh..×2 Ni wewe..ni wewe..ni wewe Magonjwa yaki nigonga ninajuwa kweli kitulizo Ni wewe...ni wewe...ni wewe Mashida zikinisonga ninajuwa kweli kimbilio Ni wewe.
Similar Songs
More from Jay Ruff Kenya
Listen to Jay Ruff Kenya Ni Wewe MP3 song. Ni Wewe song from album Ni Wewe is released in 2023. The duration of song is 00:03:27. The song is sung by Jay Ruff Kenya.
Related Tags: Ni Wewe, Ni Wewe song, Ni Wewe MP3 song, Ni Wewe MP3, download Ni Wewe song, Ni Wewe song, Ni Wewe Ni Wewe song, Ni Wewe song by Jay Ruff Kenya, Ni Wewe song download, download Ni Wewe MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Jay Ruff Kenya
an2ehrare2
fresh music fresh feel i like it lets get som work done
Thank you for listening