- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
MZAZI - CALVARY MESSENGERS
...
Nakushukuru ewe Mungu ni mengi umenibarikia kwa yote umenitendea tangu kuzaliwa kwangu lakini leo baba ninalo jambo moja nataka nikushukuru kwalo zawadi ya mzazi wangu ni baraka hailinganishwi na kitu kwa hayo ewe Mungu shukuriwa*2 Heshimu mzazi Mungu Kakupa huyo jinsi alivyo shukuru Mungu wako maana wengine hawana wazazi wengine waliachwa yatima wadogo Sana kujitegemea mwenyewe ,mzazi wako hata awe vipi hakuna mwingine kama yeye baraka tutapokea na siku za Maisha yetu*2 Muda mwingi mzazi kajinyima mazuri ili kukupa wewe Maisha yakutamanika aah wengine wameishi Maisha ya fukara ili sisi tuweze kufaulu mazingatie na madili mema wametufundisha wazazi wetu yazingatie na usimsahau mzazi wako*2
Similar Songs
More from CALVARY MESSENGERS
Listen to CALVARY MESSENGERS MZAZI MP3 song. MZAZI song from album MZAZI is released in 2022. The duration of song is 00:06:25. The song is sung by CALVARY MESSENGERS.
Related Tags: MZAZI, MZAZI song, MZAZI MP3 song, MZAZI MP3, download MZAZI song, MZAZI song, MZAZI MZAZI song, MZAZI song by CALVARY MESSENGERS, MZAZI song download, download MZAZI MP3 song