Amezaliwa Horini
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Amezaliwa Horini - Lilian Naman
...
Ni safari ya ukombozi si nyepesi kabisa uwo iyooo mtazame Mariamu na Yusufu pale mjini woiyee bethlehemu usiku ule walizunguka nyumba zote vyumba vyote vilijaa wakaishia hori la ngombe kwa hali ile mariamu na yusufu walivumilia changamoto walizopitia walikubaliana nazo ililitimie neno lililonenwa na manabii atazaliwa aliye mfalme katika hali ya umasikini.ninaimba sifa zake hosiana juu mbinguniii kwenye hori kimasikini kazaliwa mkombozi..Ninaimba sifa zake hosiana juu mbinguni kwenye hori kimasikini kazaliwa mkombozi.
Tafakari namna yeeesu alivyozaliwa horini(horini)yeye mfalme Emmanueli alizaliwa kimasikini,jichunguuuzeee leo hii ni mangapii umepitiaayayaya umelia kulalamika hujamshukuru jehova.,kama maria na yusufu wangelalamika usiku ule pale horini wasingekwenda wangebakii kuzunguka tu..kabiliana na changamoto matatizo uyapatayooo Yesu horini alizaliwa akuinuee juu ufalmeni.(.Ninaimba sifa zake hosiana juu mbinguni.(ninaimba sifa zako)kwenye hori kimasikini kazaliwa mkombozix4)
Similar Songs
More from Lilian Naman
Listen to Lilian Naman Amezaliwa Horini MP3 song. Amezaliwa Horini song from album Moyo Tulia is released in 2022. The duration of song is 00:05:35. The song is sung by Lilian Naman.
Related Tags: Amezaliwa Horini, Amezaliwa Horini song, Amezaliwa Horini MP3 song, Amezaliwa Horini MP3, download Amezaliwa Horini song, Amezaliwa Horini song, Moyo Tulia Amezaliwa Horini song, Amezaliwa Horini song by Lilian Naman, Amezaliwa Horini song download, download Amezaliwa Horini MP3 song