Kusudi Langu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Kusudi Langu - Wasafiri Family Melodies
...
Kusudi langu kuamka kabla ua jogoo kuwika kumtafuta niliyesikia habari zake, viwete watembea wagonjwa wanapona wafu wafufuka kupitia kwake , nami leo uponyaji nautaka naamini ataniponya kutokana na gonjwa hili .
nimegusa pindo lake la uponyaji nikapona japo umati ulikwaza mponyaji nilimfikia papo hapo kageuza huzuni yangu kuwa furaha mimi niliyetengwa na kupuuza kapata tumaini jipya .
kwa miaka mingi katumia yote kwa waganga bila fanikio imani yako kakuoponya kaniambia kwa kuligusa pindo lake utulivu wa moyo kaupata nguvu mpya kanivaa gonjwa halina mamlaka kwangu tena
Similar Songs
More from Wasafiri Family Melodies
Listen to Wasafiri Family Melodies Kusudi Langu MP3 song. Kusudi Langu song from album Amri ya Mfalme is released in 2022. The duration of song is 00:06:11. The song is sung by Wasafiri Family Melodies.
Related Tags: Kusudi Langu, Kusudi Langu song, Kusudi Langu MP3 song, Kusudi Langu MP3, download Kusudi Langu song, Kusudi Langu song, Amri ya Mfalme Kusudi Langu song, Kusudi Langu song by Wasafiri Family Melodies, Kusudi Langu song download, download Kusudi Langu MP3 song