#MitandaoNaSisi Limited Series
#MitandaoNaSisi ni kampeni ya kuchagiza matumizi chanya ya mitandao ya jamii na majukwaa ya kidijitali. Tunahamasisha matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya kidijitali pamoja na uhamasishaji kwa umma kuhusu uraia wa kidijitali. Tamthiliya fupi ya #CocoNaDenge inalenga kutoa elimu ya #MitandaoSalama na Uraia wa Kidijitali kama namna pia ya kuongeza ushiriki wa wanawake mtandaoni....more
#MitandaoNaSisi
All Episodes (4)
From new to old
From new to old
-
1. Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 04
Nov 05,2021 09:41 -
2. Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 03
Nov 05,2021 12:05 -
3. Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 02
Nov 05,2021 09:27 -
4. Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 01
Oct 19,2021 03:46
#MitandaoNaSisi Limited Series
#MitandaoNaSisi ni kampeni ya kuchagiza matumizi chanya ya mitandao ya jamii na majukwaa ya kidijitali. Tunahamasisha matumizi sahihi na salama ya mitandao kwa kutoa mafunzo ya ujuzi na maarifa ya kidijitali pamoja na uhamasishaji kwa umma kuhusu uraia wa kidijitali. Tamthiliya fupi ya #CocoNaDenge inalenga kutoa elimu ya #MitandaoSalama na Uraia wa Kidijitali kama namna pia ya kuongeza ushiriki wa wanawake mtandaoni.
Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this podcast?