
Handaki la Kifo
Mike, dereva taxi jijini Dar anambeba mteja wa kike, Natasha kumpeleka kwenye miadi yake usiku wa saa sita. Lakini anajikuta akiwa kwenye sehemu isiyo sahihi katika muda usio sahihi. Yeye na Natasha, wanakabiliwa na hatari kubwa kuwahi kutokea maishani mwao. Hawafui dafu mbele ya askari wa cartel kubwa Afrika Mashariki, Paka Weusi. Kwa pamoja wanajikuta kwenye Handaki la Kifo, jela maalum kwa waasi wa kundi hilo. Akiomboleza kifo cha kinyama cha mpenzi wake Ray, Natasha anabakiwa na kazi mbili kubwa – kulipiza kisasi cha mpenzi wake dhidi ya adui namba moja, Red Poison na kujiokoa kutoka kweny...more
Fredrick Bundala
All Episodes (13)
From new to old
From new to old
-
1. Uraiani Faraja
Sep 07,2021 09:22 -
2. Safari ya Mwisho - Sehemu ya 1
Sep 07,2021 18:11 -
3. Masahibu Hoteli ya Headland - Sehemu ya 2
Sep 07,2021 25:51 -
4. Sherehe za Kiama
Sep 07,2021 12:15 -
5. Kushiel
Sep 07,2021 08:56 -
6. Kufa Au Kupona
Sep 07,2021 18:17 -
7. Beast
Sep 07,2021 20:22 -
8. Handaki la Kifo
Sep 07,2021 18:36 -
9. Michezo ya Kiama
Sep 07,2021 23:53 -
10. Ubabe Ubabeni
Sep 07,2021 14:51 -
11. Natasha
Sep 07,2021 20:48 -
12. Yai la Mbuni
Sep 07,2021 12:53 -
13. Malishoni
Sep 07,2021 09:54
Handaki la Kifo
Mike, dereva taxi jijini Dar anambeba mteja wa kike, Natasha kumpeleka kwenye miadi yake usiku wa saa sita. Lakini anajikuta akiwa kwenye sehemu isiyo sahihi katika muda usio sahihi. Yeye na Natasha, wanakabiliwa na hatari kubwa kuwahi kutokea maishani mwao. Hawafui dafu mbele ya askari wa cartel kubwa Afrika Mashariki, Paka Weusi. Kwa pamoja wanajikuta kwenye Handaki la Kifo, jela maalum kwa waasi wa kundi hilo. Akiomboleza kifo cha kinyama cha mpenzi wake Ray, Natasha anabakiwa na kazi mbili kubwa – kulipiza kisasi cha mpenzi wake dhidi ya adui namba moja, Red Poison na kujiokoa kutoka kweny
Comments (7)
0/500
New Comments(7)
Sophi sophie4eva
Diras Tz
mmmmm
bungee60c6
hot
Dickson Ragira
good hits. wonderful hits add more of these to the site it is good for listening. good work
boomplay tanzanian
boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom boom
Chris Danielzeljin
goog then
Mmbuka Kevin
wow awsome awsomen
safi sana!! simulizi nzuri mnooooo!!! mtafute basi na Ben Mtobwa utusimulie