SnS Artists To Watch I Class Of 2024
Fredrick Sky Walker Bundala ameitambulisha ‘Sns Artists To Watch ‘ – Class Of 2024, ambayo imepambwa na majina ya wasanii binafsi 11 na kundi moja.
Orodha hiyo yenye majina 12 inaongozwa na msichana HEVI, huku FreshBoys wakiwa nafasi ya 12 kama kundi pekee linalotazamiwa kufanya vizuri mwaka huu.
Kwa mujibu wa namba za kwenye majukwaa ya kidigitali, majina mengi yaliyotajwa yanaonekana kufanya vizuri akiwemo Founder, ambaye wiki chache zilizopita wimbo wake wa ‘Niepushie’ ulikuwa una-trend YouTube na BoomplayTanzania.
Playlist ya nyimbo 12 za wakali hawa itakuimbisha love songs, itakukumbusha hustle, na itakupeleka kwenye viwanja vya bata. Mchezo wa uandishi wa majina haya unatambulisha nguvu nyingine mpya ya kizazi cha 2000 ambacho kipo tayari kuikabili game ya Bongo Fleva.
#SnSATW - Class Of 2024 imetambulisha wasanii ambao Wameuzoea muziki pia muziki wao ukisikiliza, unaweza kuchangia mabadiliko ya ukuaji wa Kiwanda cha Muziki Tanzania....more

SnS Artists To Watch I Class Of 2024 (4)
Title
Album
-
1
-
2
-
3
-
4
You May Also Like
Suggested Artists
SnS Artists To Watch I Class Of 2024
Fredrick Sky Walker Bundala ameitambulisha ‘Sns Artists To Watch ‘ – Class Of 2024, ambayo imepambwa na majina ya wasanii binafsi 11 na kundi moja.
Orodha hiyo yenye majina 12 inaongozwa na msichana HEVI, huku FreshBoys wakiwa nafasi ya 12 kama kundi pekee linalotazamiwa kufanya vizuri mwaka huu.
Kwa mujibu wa namba za kwenye majukwaa ya kidigitali, majina mengi yaliyotajwa yanaonekana kufanya vizuri akiwemo Founder, ambaye wiki chache zilizopita wimbo wake wa ‘Niepushie’ ulikuwa una-trend YouTube na BoomplayTanzania.
Playlist ya nyimbo 12 za wakali hawa itakuimbisha love songs, itakukumbusha hustle, na itakupeleka kwenye viwanja vya bata. Mchezo wa uandishi wa majina haya unatambulisha nguvu nyingine mpya ya kizazi cha 2000 ambacho kipo tayari kuikabili game ya Bongo Fleva.
#SnSATW - Class Of 2024 imetambulisha wasanii ambao Wameuzoea muziki pia muziki wao ukisikiliza, unaweza kuchangia mabadiliko ya ukuaji wa Kiwanda cha Muziki Tanzania.

Comments (0)
0/500
New Comments(0)
What do you think of this playlist?