PAMBE Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
PAMBE - Danverse King
...
hello hello baby waambaje hivi leo ?
nimekuota usiku kucha tukila kitoweo
mimi naomba tega sikio (sikio)
maana siku yetu ni leo (ni leo)
tutaimba na kucheza nyimbo za furaha
Harusi tunayo hatuna aaa (eee tunayo)×2
Harusi tunayo hatuna aaa (eee tunayo)×2
pambe pambe
pambe pambe
pambe pambe
ooh baby pambe ×2
mimi napenda venye una niwazia
mema kila masaa , kila masaa
nina tamani niwe nawe kila siku ya maisha yangu oooo
mimi napenda vile una niwazia
mema kila masaa, kila masaa
nina tamani niwe nawe kila siku ya maisha yangu oooo
Harusi tunayo hatuna aaa (eee tunayo)×2
harusi tunayo hatuna aaa (eee tunayo) ×2
Kata kata baby kata
kata kata mama kata
kata kata baby kata
kata kata mama kata
kata kata baby kata
kata kata mama kata
chini kwa chini ooh baby kata
chini kwa chini baby kata
chini kwa chini baby kata aaa
ooooh baby kata