Kila Siku za Week Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Kila siku ya wiki, ai ai aiiihhh
Tunacheza muziki, ah wacha weh
Lakini pia tunachoma, ah wacha weh
Tuko busy tunachoma,
Yeah yeah yeah
Kila siku ya wiki, ai ai aiiihhh,
Yeah
Tunacheza muziki, ah wacha weh
Lakini pia tunachoma, lakini pia tunachoma
Tuko busy tunachoma, tuko busy tunachoma
Haibo!
Shika hapa shika pale
Shika hii shika ile weka ndimu ng'ata
Shika hapa shika pale
Shika hii shika ile tia ndimu ng'ata
Shika hapa shika pale
Shika hii shika ile weka ndimu ng'ata
Shika hapa shika pale
Shika hii shika ile tia ndimu ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho ng'ata
…
Ng'ata
…
ng'ata
Hiii iih
Ai Mama eh ai ai mama, hey
Ai Mama eh ai ai mama
Ai Mama eh ai ai mama, hey
Ai Mama eh ai ai mama
Haibo!
Shika kamata, shika
Chochote utapata, shika
Tukizipata tunaball na washanta
Eh, eh haibo!
Shika kamata, shika
Chochote utapata, shika
Tukizipata tunaball na washanta
Eh, eh haibo
Shika hapa shika pale
Shika hii shika ile weka ndimu ng'ata
Shika hapa shika pale
Shika hii shika ile tia ndimu ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho, ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho, ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho, ng'ata
Tunacho cho choma tuna cho, ng'ata
…
Ng'ata !
…
Ng'ata !
…
Ng'ata !
…
Ng'ata !