Nikupe Nini Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2021
Lyrics
Genesis - Wilfie Musiq
...
Nikupe nini,Mungu wangu
nikupe nini,nishukuru
Mih ni mzima,mtu mzima, mungu wa uzima
mwenye sifa na nazo heshima,kanipa hekima
na maharifa, nimwimbieee
nikupe nini mungu wangu,
vitu umenipa vyote vyangu
uhai uzima weh kanipa,
afya na nguvu, uumenipa,
nikupe nini mungu wangu
Nikupe nini,Mungu wangu
nikupe nini,nishukuru
sauti umenipa nikwimbie
nami natunga hii nikwinue
ata wahindi wakujue
dunia mzima ikwinue
MUNGU
Kazi umenipa,nashukuru
nguo navaa,niwe mungu
dish nadish,ni weh mungu
nikupe nini,mungu wangu
Nikupe nini,Mungu wangu
nikupe nini,nishukuru