Uko Nami (Sounds Of Worship) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Uku wako wa shanganza
Uzuri wako wapendeza
Amani yako yaliwaza
Wewe ndiwe Mungu
Uaminifu wako ni wakweli
Uwezo wako wadumu milele
Baraka zako hazina ukingo
Wewe ndiwe YAHWE
Japo nipitapo kwenye bonde la mauti
Sita hofu
Maana wewe unami
Gongo lako na fimbo yako BWANA
Vya nifariji
Aaaah uko nami BABA
Uko nami
Uko nami
Uko nami
Huto niacha kamwe
Uko nami
Uko nami
Uko nami
Huto niacha kamwe
Waanda meza mbele yangu
Machoni pa Adui zangu woote
Ume nipaka mafuta kichwani paangu
Kikombe changu kina furika
Kikombe changu kina furika
Nita kaa nyumbani mwako siku zote za maisha yangu
Nita imba uzuri wako
Nita tangaza matendo yako makuu
Baba baba baba Eeh baba
Eeeh Baba baba bababababababa
Wema fadhili baraka zitatufuata
Arbre sans saison
Baraka zako mbele
Baraka zako nyumba
Baraka zako ku ume
Baraka zako kushoto