Napona Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nikama bahati kumpata kimwarii
Kwa uzuri siteti utamu asali
Ladha yake ya cake nyavuni samaki
Mteremko mwepesi akilala chalii
Hoi taabani
Mwenzakoo napata shida
Uwepo wako ahuweni yanguu
Kitambo toka Tz hadi kwa madiba
Uwerevu wako ndo furaha yangu
Ukiwa na mimi najihisi furah
Tena najiamini najiona bora
Ukiwa na mimi najihisi furah
Tena najiamini najiona bora
Kwauzuri wako napona
Pona pona ee pona pona ee pona pona eee
Kwauzuri wakk napona
Pona pona ee pona pona ee pona pona ee
For the true love girl you are the one yeiih
Nisipokuona nakesha usiku kucha ni presha
For the true love girl you are the one yeiih
Nisipokuona nakesha usiku kucha ni presha
Taratibu maama miuno ya congo
Umefunzwa unyagoni mixer kimombo ouh
Aunajua nini maama nimemiss sotojo
Madiko diko fulani uniandaliee
Beib nakupenda I promise sitokutenda umeniteka ndani ndani ndani ndani hataari
Kwauzuri wako napona
Pona pona ee pona pona ee pona pona eee
Kwauzuri wakk napona
Pona pona ee pona pona ee pona pona ee
Baby nyonga nyonga nyonga
Mommy nyonga nyonga nyonga
Dealing nyonga nyonga nyonga
Eei eihyee
Baby nyonga nyonga nyonga
Mommy nyonga nyonga nyonga
Darling nyonga nyonga nyonga
Baby nyonga nyonga nyonga
Mommy nyonga nyonga nyonga
Darling nyonga nyonga nyonga