Chakutumaini Sina Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Chakutumaini Sina - Beatrice Mhone
...
Chakutuma-ini sina,
ila damu, yako Bwana,
Sina wema wa kutosha
dhambi zangu kuziosha
Ooh
Kwake yesu, nasimama
ndiye mwambani salama
Ooh
ndiye mwamba-ni salama
ndiye mwamba-ni salama
Njia yangu, iwe ndefu,
Wewe hunipa wokofu,
Mawimbi ya-kinipiga
Wewe hunipa wokofu.
Ooh
Kwake yesu, nasimama
ndiye mwambani salama
Ooh
ndiye mwamba-ni salama
ndiye mwamba-ni salama
Nikiitwa hukumuni,
Rohoni Nina amani
Nikivikwa haki yake
Sina hofu mbele zake,
Ooh
Kwake yesu, nasimama
ndiye mwambani salama
Ooh
ndiye mwamba-ni salama
ndiye mwamba-ni salama
Damu yako na sadaka
Nategemea daima,
Yote chini yakiisha
Mwokozi u-tanitosha
Ooh
Kwake yesu, nasimama
ndiye mwambani salama
Ooh
ndiye mwamba-ni salama
ndiye mwamba-ni salama
Ooh
Kwake yesu, nasimama
ndiye mwambani salama
Ooh
ndiye mwamba-ni salama
ndiye mwamba-ni salama