Uji Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Uji - Benson
...
Penzi limenikaa
kama kashata basi niletee na kahawa
Nakuwashia taa
nakuangalia vile unakuja hapa
Haya mapenzi kama ulaya na mimi nayakunywa kama beer
mpenzi wangu we moto fire
hata wambea wakikanyagia
chubby dubby, mwenzio napenda uji
usin'nyime makusudi, pgo za nenda rudi
chubby dubby mwenzio napenda uji
usininyime makusudi pigo za nenda rudi
nipende nikupende, nipende nikupende
Nipende nikupende, nipende nikupende
Nipendee aaah nipendee
Ooh nipendee aah nipendee
Ooh nah aaah aaaah
Mambo mazitoo
Mpwito mpwitoo
Mtoto wa moto ile mbayaa
Ulicho nacho ndokinafanyaa
Mpaka mi napagawaa
Ooh baby Nipe nipee
Ooh baby Nipe nipee
Ooh baby Nipe yotee
Ooh baby nipe nipee
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Usininyime makusudi
Pigo za nenda rudi
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
Usininyime makusudi
Pigo za nenda rudi
Nipende nikupende, nipende nikupende
Nipende nikupende, nipende nikupende
Nipendee aaah nipendee
Ooh nipendee aah nipendee
Ooh nah nah
Shubby dubby
Mwenzio napenda uji
usin nyime makusudi