Sitaki Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Sitaki - Diamond Platnumz 656k
...
sitaki sitaki
skwiz twa yega nyavu
sio wa ndoano i uduvi
sitaki
malavudau nawatoto
wabongomovi nile chipsi kavu
nikuonge zege kwa mbuzi
kugombania upumbavuu
eti ukingi ushuzii sitaki
kwizi sishoti dm kugombania mademu sitaki atamtuujalewa eti unitambulishe shem sitaki kutoa tiki sitaki
wanao foci mziki staki kunitukana nikujibu iliupate kiki aa bwana we staki niache bana nasema stak staki aa sta staki ee sta staki nasema sta sitaki sitaki bana staki eee staki eee wamizinga nganganga kutwa kukuwinda nga ukitinga nga wanakuganda unabuku apo staki wefatumagingi aaaa achaujinga tunakutana jana tu leo unaniletea mimba staki eee kua uyaonee ila yaloe kalii dada kutwa anamekap anajikuta pisikali staki kulimbukeni kunifanya bwege utozeki staki nikukopesha tusumbuanekulipadeni
staki aa bwana we staki niache bana staki nasema sta staki aka sta staki eeee sta staki nasema sta staki sitaki bana
staki staki