Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2014

Lyrics

Msalambani - Pastor Emmanuel Ushindi

...

Nipale musarabani Kisha mateso mengi ambayo


Yesu kristo


alipata kufa na kufufuka kwake


nipale nilikomborewa


baba na mama


walinikataa


marafiki na majilani wote wakanikimbia


lakini Yesu akanikaribisha


utukufu na heshima zimerudie Bwana


Ameee. hallelujah



iiiiii pale pale pale pale pale paleeeee!


pale pale paleeeee musalabani mi nakumbuka mateso


Yesu kristo alipata kusudi Mimi niokolewe


muache niimbe,muache nicheze amenitoa mbali oooh!


aaah msalabani Bwana wangu Yesu alilia yelohi yelohi raba Saba kitani ,Bwana wangu wangu eeeeh mbona umeniacha


siii kama nitakavyoo mapenzi yako yafanyike kwangu


ili mwanadamu aufikie ukombozi


ili baba na mama waufikie ukombozi


ili kaka na dada waufikie ukombooozi waufikie ukombozi


ooh Asante Bwana


nikikumbuka taji ya miba aliyovikwa nahizo


majeshi wenyenguvu kubwa


na hasira Tena juu ya Baba wakapewa taji


kusema wamvike mokozi wangu


wakamvika hiyo Kwa hasira mamaa kumbuka,


maumivu mwili mzima


ikajaaa moto


sijasema nayo mijeredi iliyojaa miiiba


wakamtwika na msalaba


Yesu wangu akaanguka eeeh


simoni naye akasema atapimaa


nae akashindwa ooooh aaahh yooooh


ndugu yangu baba mateso ilikuwa juu yangu


utukufu na heshima zikurudie wewe hallelujah


sijasema Tena juu ya mkuki waliompiga


Tena ubavuni


damu nayo maaji


ikatililika mpaka udongo


miko na msumali mguu


na miguu Tena msumali mwingine


akasema munipe maji


nakumbuka wakampa


maji machungu eeh


siki sifingo eeh


Babas aliyenipa pahalii oooh hallelujah


anasema atarudi Dunia


atarudi Tena kukusanya kondoo


atarudi yeye ni Simba ya yuda


macho yake miale ya moto


kinywa chake kitakata


nikama upangaa


Baba atarudi muduni na hasila kubwa


anasema atarudi Dunia


atarudi Tena kukusanya kondoo


atarudi yeye ni Simba ya yuda


macho yake miale ya moto


kinywa chake kitakata


nikama upangaa


wenye dhambi watakuwa wapi ooh


watakuwa wapiiii


makahaba watakuwa waaapi


waliokataa injili nao watakuwa wapi


siku ilee


watakuwa waaapi watakuwa wapi


utajificha mbele ya pastor, utajificha mbele ya padri


lakini baba anayo macho saba

Moja mchana Moja usiku eeh


Naingine tano reserved,utajifificha wapi


papa uonekana mbele ya wakati eeeh ee ee


hata uende ndani ya maji


maji ya uzima


hata uende ndani ya moto na manyanga


ni moto ulaooo!


hata ukimbilie ndani ya mawe


yeye ni mwambaa


hata ujifiche ndani ya miti polini


nimzabibu wa kweli


hata ujifiche ndani ya (****)


ni Simba wa yudaaa ni Simba wa yudaaa.


hahaha


utajificha mbele ya ndugu yako


yeye anamacho mbili


safari zako zote zinafichika


watu hawajui


lakini Mungu anajua


yeye anauwezo wa kuona kwenye ngelele

mweusi


ndani ya maji meusi.


katikati ya usiku


Tena yule lijiwe mweusi


Mungu yeye ataiona


hakuna mtu awezae kumficha kitu


onyeka tu ,uone like Mungu atakufanyizia


hallelujah.


hata uende ndani ya maji


nimaji ya uzima


hata uende ndani ya moto na manyanga


ni moto ulaooo!


hata ukimbilie ndani ya mawe


yeye ni mwambaa


hata ujifiche ndani ya miti polini


nimzabibu wa kweli


hata ujifiche ndani ya (****)


ni Simba wa yudaaa ni Simba wa yudaaa.

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status