Maisha ft. Super deluxe Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2022
Lyrics
Yeah, tutulamama boy, oh everybody, don't forget it's super deluxe
It's 1999
Dogu rafiku wa meni, kana sajo weni fanya nini
Nime zidi kuchekewa siku tengu chanu
Maisha ni magume, meni tupan paka chini
Nime enda left, right, mpako kuita dini
Tume choka na maisha ee, tume choka na maisha ee
Tume chorka na maisha, mungu baba utuline
Tume chorka na maisha ee, tume chorka na maisha ee
Tume chorka na maisha, mungu baba utuline
Li maisha ni mukango, mawazo na mutango
Maana ni kupata na tena ni kukosa
Ile la momba mungu mola ni sije kufa kabwela
Unakula wani kesho, maisha ni magumu
Yanahuma kama sumu, na isi ninge tubu
Maana ni vigumu, na momba mungu mola
Kama ni taona kesho, na momba mungu mola
Anifanyie mukango
Ebuana, ebuana, ebuana, tume choka
E mungu, e mungu, e mungu
Tume choka na maisha ee
Tume choka na maisha ee
Mungu baba utuline
Tume choka na maisha ee
Tume choka na maisha ee
Mungu baba utuline