NIKE Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
NIKE - Sewersydaa
...
ukikam kutupanga tutakuonyesha nani akona panga ...×5 beshte yangu ali go too soon lakini nni iti hakuvaliwa bruise Alipewa 25 tu life ju ya drug abuse na ni Wada msue Watu wasaba ndani ya *subaru chama nni moja kama enzi za KANU Madam nipige busu nakaa Judas umetumwa na shape ya dahu hii malaya inataka kunipanda nikaa nimegeuka himalayas rada Beach nyamaza unabonga sana mbele ya wababaz radaaa