Loading...

Download
  • Genre:Dancehall
  • Year of Release:2022

Lyrics

Maisha ni njia - Mr Prize Rapper

...

Maisha Pia huisha unapaswa kuwa na dream,

Kama cream kwenye milk we discover your dream,

Usiturn kama rim mambo ya watu we kufwata utajiona mtukutu nayo kutu haina value,

Ignore piga tu hatua usijali kesho Mungu ndiye anajua,

Usipende za alua Mungu alikupenda bila hizo nina imani unaelewa kila siku huitaji kulewa pombe bangi achana nazo kwa maisha kujielewa....

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Jiulize yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Ukimess umepotea,

Hivi leo hata jana kila mtu huwa tu kijana,

Achana wale wa kuchana pombe usiwahikunywa

Na miraa usiwaichana kwa kujiona kijanaa...

Kwa kujiona kijanaa,ukijiusisha na anasa utajikuta umepotea na ukijiunga na ulevi mwili wako utaumia...

Wazazi ni wema bila uovu wamekulea,unaanza kujiaribu madawa sasa zakulea

Unasahau mbele yako shimoni utatokomea...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Jiulize yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Ukimess umepotea,

Matatizo humu duniani kila mara hazikosekani,

Lakini huwa za muda ili kupima yako imani,

So kaa ngumu kama kangu hakika isikupate,

Mwenyezi awe kimbilio kila siku zidisha imani,mambo yako iwe sambamba kila siku iwe tu laini,

Piga plan poa Mungu atakusupport...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Jiulize yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Ukimess umepotea,

Hicho unachokifanya jiulize mwisho wako nini,

Utaishia huko motoni ama utapata maskani mbinguni,

Ambako hakuna taabu ni kuimba na kusifu,

Hakuna kuhisi njaa,kuna shibe ya milele...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njiaa...

Ni bora uwe mhumble mabaya watakayosema ignore wale walio kama siafu wakikuuma waignore

Hii maisha ni njia unapaswa kujiknow

Isikukule mablow virahisi na ma-clow,

Jifaye tu mwoga za dunia kuziepuka na paradiso we kufika,

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Hii maisha ni njia...

Yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Jiulize yako itaishia wapi

Hii maisha ni njia...X3

Ukimess umepotea,

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status