Nampenda Rafiki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Nampenda Rafiki - sadim mavoice
...
Nampenda Rafiki
Rafiki yangu mimi
Tulifamiana kitambo
Ananichanganya sana
Nikimuona kwenye picha
Ananiwazisha sana
Status zake za WhatsApp
Naimoji zaku cheka cheka
Na nimesha mwambia
Akusu jinsi navo mpenda
Ila naona masihara
Ataki kunielewa
Nibora
Asingekua Rafikyangu
Ningejua wapi tu pakuanzia
Kuliko najipa machungu
Ona sasa mimi naumia