Ni Wewe Baba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Baba Ni Wewe Unaye Weza Mambo Yote
Baba Ni Wewe Unaye Weza Mambo Yote
Hakuna Mwengine Wakutenda Zaidi Yako
Hakuna Mwengine Wakulinganishwa Wakulinganisha Nawee
Sasa Nikipi Kinitengenishe Nawe
Sasa Nikipi Kinitengenawe Yesu
Ni wewe Baba Yetu We!
Ni wewe Mungu Wetu We!
Ni Wewe Baba Yetu We!
Ni Wewe Mungu Wetu We!
Ni Wewe Baba Yetu
Ni Wewe Mungu Wetu Wee!
Ni Wewe Jehova
Ni Wewe Niko
Ambaye Niko
Ni Wewe Baba
Huu huu huu huu huu huuuu!
Mambo Makubwa Umeyafanya
Yalenisiyo Yajua Na Yale Yote Niyajuhayo Wewe Bwana Umetenda
Ni Wewe Tu Baba
Ni Wewe Tu Yesu
Nakuona Wewe Bwana
Nakuona Wewe Bwana
kwenye Nchi Yangu Yesu
Kwa Taifa Letu
Kwa Hii Tanzania Baba Afrika Yote Twakuona Wewe Ulimwengu Mzima
Umetamalaki Baba Umetanda
Umezunguka Kwato Ni Wewe Tu Ni Wewe Tu
Huuuu Huuu Huuu!