MAZISHI MATANGA Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Hii ni mazishi matanga
Beat iko fiti na mi naimanga
Naipiga design nataka
Natema namwaga mahali nataka
Daily nipate na kimary Jane 420 ni Mi Peter Parker
Na skuizi naingia na suti kwa booth Juu maze hii mziki ni janta
Niko kwa tuktuk na bad bitch
Kunyonya ananyonya maze Buda Blunder
Hatujafika Kona kufika kamakiz maze Buda ashashika nyama
She say that my vibe is amazing
She wanna fuck with a G
Nkampeleka thug mansion kwa Yardie
Just to show her how a nigga living
Kubeba amebeba ni ka anahama
Ni kama shinji vile yengs kanagawa
She say she a panther kwa bed
I told her welcome to wakanda
Na nmekua kwa vaite
Itabidii ametii nko jaba,
Then I hit it RAW.,NXT,royal Rumble namada na smack down
I'm on the gas nawasha kiras it keep Me on go
The bitch wasn't ready so it's me and Music like Winnie and Pooh
It's me and the doh
Nkama stripper na pole nigga
And if you owe me ata bob nigga
Trust me I'm at your door nigga
Hit your bell like ring ding so Terrible
No doctors but i make you scream Like you can't stand the pain of the Needle
Nakiwasha na shhh ka zerro
Tiang inapimwa na litre
Lakini nakunywa na kilo
Nobody niggaz ka injera
Rappers nawa(adema)Biko
I want all the smoke kiko
In the studio I'm chef 99er
Ni kuruga kuruga di riko
I'm working working while you sleeping
Muguukera gamuruta biću
Mwana mwega nu ndaa
Mkibeef mi Nadishi
This n***az b****es,nko ridho
Itabidii wamedunga kamisi
Hii ni mazishi matanga
Beat iko fiti na mi naimanga
Naipiga design nataka
Natema namwaga mahali nataka
Daily nipate na kimary Jane 420 ni Mi Peter Parker
Na skuizi naingia na suti kwa booth Juu maze hii mziki ni janta
Mistari ni sick sitapona
Nakuja na heat sitakoma
Wakileta beef waiter lete sembe
Nadishi ka beast ndio nanona
Na hustle ni ka sina pesa
I get it my own mi sio beggar
My ma taught me better,I'm better
I'm a son of a Queen 99er
Ukipenda kijana wa bena
Vitu ni different
Mimi ni different
I don't give a fuck like I'm celibate
Napata izi chingri
Nlipata mateachings
Me uroll na mabro lakini ni gang
Mi uhang na mamisfits
Look ni fresh kamili
I keep it soh ka mbili
Jill Jill na sio Siri nikispit dalili hii ni Mvua biggy
Uezi fika ii ligi
Ni mi nlimeza Jonah so niite bigfish
Niko miti jing jing
Bushman Ieazby king king
Sijai tii mi(Timmy)so sio Tdat mimi
But sijui uniite mortuary ju nkispit Ni killing
Na sijui uniite butchery vile na deal Na beef G
Hii ni mazishi matanga
Beat iko fiti na mi naimanga
Naipiga design nataka
Natema namwaga mahali nataka
Daily nipate na kimary Jane 420 ni Mi Peter Parker
Na skuizi naingia na suti kwa booth Juu maze hii mziki ni janta