Tabasamu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Oyayayaaa
Oyayayaaa
Oyayayaae
Oye iyei
Tabasamu usoni latoka mwana ae we ona aa
Penzio Yesu imefanya niridhike ei ei eiiyeh
Mja mwezangu aweza akaringa kwa saana
Sifa zi pomo lazima nikwimbie ei eieh
Mmmh kama ni penzi
Lako lazidi asali tamu
Halitoshi gharama mateso niitwe mwana ae
Umefanya nitulie eei sifa zipomo kwako bam
Maombi na sala aeh, ooh mie wako dawamu
Umenifanya ning'are
Umenifanya nitulie sana ae
Tabibu wangu mmmh iyoyoyo
Uuh umenifanya ning'are
Umenifanya nitulie sana ae
Tabibu wangu mmmh iyoyoyo
Ooh oo
Tabasamu usoni latoka mwana ae we ona aa
Penzio Yesu imefanya niridhike ei ei eiiyeh
Mja mwezangu aweza akaringa kwa saana
Sifa zi pomo lazima nikwimbie ei eieh
Mmmh kabla nikupate
Machozi yalikuwa yadondoka sana ae
Oooh after nikujue ei machozi we ukanifuta ae
Ya dunia hasara yote nahesabu gharama sana
Ndani yako nimeshida ae nipe nguvu nikwimbie
Wewe m barikiwa aah aah imba na mimi
Umekombolewa aah aah cheza na mimi
Twende kwake Yesu pamoja pamoja
Twende kwa sifa sana ae
Kwake salama, bambam twende kwa shangwe iyilih
Oo oo
Tabasamu usoni latoka mwana ae we ona aa
Penzio Yesu imefanya niridhike ei ei eiiyeh
Mja mwezangu aweza akaringa kwa saana
Sifa zi pomo lazima nikwimbie ei eieh
Umebarikiwa, umekombolewa
Chini kwa magoti sema asante
Eei ooh, cheza na mimi
Ooh, imba na mimi
Ooh ringa kidogo furahia wokovu wako
Eih ei eei eiiih e
Tabasamu usoni latoka mwana ae we ona aa
Penzio Yesu imefanya niridhike ei ei eiiyeh
Mja mwezangu aweza akaringa kwa saana
Sifa zi pomo lazima nikwimbie ei eieh
We ona aa
Eih eeih eiiyeh
Kwa sana aa
Eih eiiyeh