Utamuwake Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Utamuwake - Mczo Morfani
...
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Lala pekeake
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Lala pekeake
Akilala anaumis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Laala pekeake eeeh
Unaempenda ndio atakaekutesa
Utapata kisukari yani utapata presha
Ukiwaza sana ndugu yangu Utazeeka
Ongeza bidii juhudi Kusaka PESA
Mapenzi ya kuigiza yani Simba na Zari, Zuchu amevishwa shela yani ashakuwa mwali
Vipi kajala konde ashamwonga Gari au ndo vile Aaaah anamlaghai
Vanny Boy Paula amkatai Vipi bwana Jux Vanessa Bai Bai
We si unajuaga tena Mapenzi Potelea mbali Baibai
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Lala pekeake
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Lala pekeake
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala
Lala pekeake eeeh
Hebu taharuki Dada kipindi huna
Sasa shela na Suti Aaaah unauchuna
Mwamba nshakaza buti nionee Huruma niweke spea tairi kama Gari ikibuma
Wambea Wanafki wasifanye me nipotee
Mola wangu kwaheri aah nipokee nishateswa na Mapenzi ex wangu Nipotezee
Daah Jamani Mola niongezee
Duke mapenzi hasira hasira hasira
Mchafu kachafuka katembea na Jirani
Mke wa mtu Sumu wajua Baba Shabani ukishakula ndumu usitoe Siri za ndani
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala
Lala pekeake
Akilala anammis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Lala pekeake
Akilala anaumis Aaaah
Aaaah Utamu wake
Hawezi kulala Lala pekeake
. .
Aah Wizzy
Morfani
Aaaah machalala wee
.. . ..
(Shout out)
(Lyrics by AT Man Don)
Duke AK 47 (Prod Sign)