Wamtumainio Bwana Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2010
Lyrics
Wamtumainio Bwana - Kwaya Ya Upendo Hai Mjini
...
HAI MJINI:
WAMTUMAINIO BWANA MUNGU
Wamtumainio Bwana MUNGU
Ni kama Mlima wa Sayuni
Ambao hautatikisika
Ukaao milele na milele... ×2
Nasayuni mbinguni kwake MUNGU
Tunalo Tumaini la milele...
Tukishashinda vita vya dunia..kwelii...
Tutamuona Bwana MUNGU wa milele... ×2
...NGOMA + KINANDA....
Wao wanaozigeukia, njia zao zilizopotoka...
Atawaondoa na hao watendao
Maovu kuteketezwa motoni...×2
Nasayuni Mbinguni kwake MUNGU
Tunalo Tumaini la milele..
Tukishashinda vita vya dunia.. kweli..
Tutamuona Bwana MUNGU wa milele..×2
Wamuitao BWANA kwa Zaburi
Watamuona BWANA wa majeshi
Atawapa na kuwavalisha
Taji ya uzima wa milele...×2
Nasayuni Mbinguni kwake MUNGU
Tunalo Tumaini la milele ...
Tukishashinda vita vya dunia..kweli...
Tutamuona Bwana MUNGU wa milele...×2
By
J. MALLYA
+255 713 06 12 96