Mjengo Lyrics
- Genre:Gengetone
- Year of Release:2022
Lyrics
Mjengo - Jacob Luckiz
...
Chorus : Mjengo x3
story za mjengo }x2
Naspin na Kijiko
Nikapate yangu Mwiko
Madimanga naleta
Nikoroge Mgacha
Ndifu akidahi dimanga ebu mpe
Kitu hii itaki hasira
kitukanwa silete asara
Ewe ndifu weka kabiro
Mtu wa mkono ebu Kura njaro
Forman! Forman ndo kusema
Ongea mbaya utemwe
Na kesho kuna fomu
Utakosa doh za kubanju
So Kwa mjengo we Ka RADA
ukipata doh tafuta Mdada
Doh ya mjengo huwa tamu
Cox utoka kila siku
Eeeh aka kado nimekapata joh
Doh ya mjengo,