Mahewa (Remix) ft. Kushman Pedi Wa Magenge, Parroty & Wakanda Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mahewa (Remix) ft. Kushman Pedi Wa Magenge, Parroty & Wakanda - Gody Tennor
...
siko soko tangazo tangazo siko soko
(remixxxxxx)
siko soko tangazo tangazo siko soko
ala! hii ni club ya aina gani
imejaa tu mandume hakuna mamanzi
msupa ni mmoja na amekuja na babake
apewe mzinga ya kingfisher kwa bill yake..
club imeja hadi hakuna hewa
kwanza kuna bouncer amechafua hewa
hakuna mtu sobber hadi manager amelewa...
pale kwa counter kuna waiter anapewa
na mbona hii club ina nuka samaki
( huku ma waiter hukuja bila panty)
kwa ukuta wameandika usitoke mapema
ukitoka mapema usiwai rudi tena
wasee wasee (sema mkuu)
hii club inaudhi tusafishe
wasee wasee (sema mkuu)
tutoke kirende tuende tuchachishe
naskia tuu nipige nduru
cheki vile siku hizi me na piga luku
life ina ni bamba ,life ina ni bamba
naskia tuuu nipige nduru
mawekendi huwezi nipata haiku
life ina ni bamba,life ina ni bamba
hey sweey
(hey)
take a sit