Nijipende Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Waiter we weka kwa meza,
Ninayo mengi yanayonikumba,
Mpaka mate nashindwa kumeza,
Ila pombee (Inapitaa)
Nimependa tena sana nkaumizwa,
Wakasema tutaachana nkalizwa,
Nimeona wengi sana bana,
Ila moyo unakataa,
Tena sitaki kuumizwa hisia zangu,
Hisia zangu zimechokaa,
Kupenda sitaki nibaki na moyo wangu,
Moyo wangu umechokaa,
Acha tu nijipeende (pende)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Aaacha tu nijipendee (pendee)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Bora nilewe nipate usingizi,
Mana mapenzi yananieka uchizi,
Penzi bahari na naogopa mbizi,
Nitazamaa,
Staki mwingine atanichanganya,
Maana chochote atataka ntafanya,
Kesho ikifika naye atanidanganya,
Nitakondaa,
Tena sitaki kuumizwa hisia zangu,
Hisia zangu zimechokaa,
Kupenda sitaki nibaki na moyo wangu,
Moyo wangu umechokaa,
Acha tu nijipeende (pende)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Aaacha tu nijipendee (pendee)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)
Nijipende (pende)