Nishazama Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Nishazama - Marry G
...
(Lyrics added by me @saggie mac’yalue follow me on buzz)
Hey
My love, inanitoka baridi nikikutaja jina.
Baby njoo, sitamani hata kula nisipo kuona
Oh baby boy,
Hivi ulinipaga nini..??
Nikakuweka kwa mtima
Usije nitoa roho.. nikikuudhi usinune
Ukasusa mazima
Tena, nikamate mwali, tia na sukari
Nipe vyote si bakishi hata kimoja
Mi napenda na ziliwe shwari (ah)
Wasije kukupanga panga, utanifanya niwe hoi (hoi)
N’shazama, n’shazama nikoleze
N’shazama, n’shazama ni..ko..le..zee
….
Kama mapacha tupenda..pendane
Rhumba chakacha we tuchezeshane
Kwako ujanja sina, nimejifia hoi ta..a..bani
Honey nichombeze (aiyayaa)
Sukari guru nikoleze (aiyayaa)
Najuaga ulivyo leze fika safari niongoze
Tena.. nikamate mwali
Tia na sukari, nipe vyote sibakishi hata kimoja
Mi napendaa na ziliwe shwari (ah)
Wasije kukupanga panga
Utanifanya niwe hoi (hoi)
Eeh, nshazama, nshazama nikoleze
Nshazama, nshazama niko..le..ze
Nshazama, nshazama nikoleze
Nshazama, nshazama niko..le..ze
……