Utanikumbuka Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Mmmh Luxey
Have fallen In love again
Eyaa
Eyaa
Verse 1
Mapenzi shubiri
ukiyaonja utalia... eh eh eh eh eh eh
nimechoka subiri
kungoja ili nipate Tulia eh eh eh eh eh eh
Acha Nile kiburi
Nilijitakia mwenyewe eh eh eh eh eh eh
Yani sina ushauri
Ukija achwa utanikumbuka we we we we we we
Nakumbuka Enzi hizo tukienda enda shule
Chakula ulibeba pamoja mi nawe tule
Wengine wanaume ukawatupa tupa kule
Natamani hayo yangeniuguza kipele
sikudhani yataisha bana bana
ukiniambia tutaishi bana bana
Na hata milele haikuwai fikana
Ikawa kusahau kilele kuzikana
ChoruS
Je utanikumbuka?... tanikumbukaa ?
utanikumbuka?... tanikumbukaa
Je utanikumbuka?... tanikumbukaa ?
utanikumbuka?... tanikumbukaa
Verse 2
Mwenyewe ukaniambia, nikupeleke nyumbani kwa wazazi wazazi
Nami sikukawia, mbio ukawaona hadi shangazi shangazi
Nilijua we ndicho kichuna changu
Wa pekee ndio mchumba wangu
Sasa hivi nini ikafanyika
Ndiposa ukaamua kuniacha
Sasa waniona mtu bure
Wakurushiwa mbwa mwitu walee
Hivi nauliza kama utanikumbuka
Hata kama unaenjoy mamae
sikudhani yataisha bana bana
ukiniambia tutashibana bana
Na hata milele haikuwai fikana
Ikawa kusahau kilele kuzikana
chorus
Je utanikumbuka?... tanikumbukaa ?
utanikumbuka?... tanikumbukaa
Je utanikumbuka?... tanikumbukaa ?
utanikumbuka?... tanikumbukaa
Outro verse
Kweli ukipanga nature yapangua
(utanikumbuka?)
Ahadi ulonipa kukua hayakua
(utanikumbuka?)
Kasuku ndege wangu kageuka bundi
(Utanikumbuka?)
Samaki majini kashikwa na mbuni
(Utanikumbuka?)
Najiuliza nitamwambia mama nini
(utanikumbuka?)
Njiwa nilonasa ye ashapepea
(utanikumbuka?)
Nami sina mabawa kufika angani
(utanikumbuka?)
Je nitampata nani wa kulipenya
(Utanikumbuka?)
Je utanikumbuka?... tanikumbukaa ?
utanikumbuka?... tanikumbukaa
Je utanikumbuka?... tanikumbukaa ?
utanikumbuka?... tanikumbukaa