Loading...

Download
  • Genre:Gospel
  • Year of Release:2022

Lyrics

Niwe Baraka - BURTON KING

...

eiyeeeee yokaaaa

Naomba niwe baraka kwa wengine

niwe baraka kwa watu

mhmhhhh

nisiwe sababu ya yeyote kuanguka

mhhm nisiwe sababu ya yeyote kulia(×2)

niwe macho kwa vipofu

niwe mikono kwa wasio nayo

niwe miguu kwa viwete

bwana nifanye baraka,baraka

bwana unifanye msaada kwao

washukuru mungu walikutana nami

Naomba niwe baraka kwa wengine

naomba,niwe baraka kwa watu

hili ni ombi langu

nisiwe sababu ya yeyote kuanguka

nisiwe sababu ya yeyote kulia

mimi naombaa

naomba niwe baraka kwa wengine naomba,niwe baraka kwa watu, niwe baraka tu.

nisiwe sababu ya yeyote kuanguka sitaki niwe sababu, nisiwe sababu ya

ya yeyote kutumia

oooh bwana, yeyote nitakayekutana naye ,niwe wa dhamana kwenye hatuma yake.

nafasi yangu kwenye maisha yake,iandikwe kwenye jiwe

nitaomba msamaha hata wakati mimi nimekosewa,ikiwa hiyo itanifanya wa dhamana kwake

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status