CHOCOLATA ROSSO Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
CHOCOLATA ROSSO - ItsYaba
...
Lakini baby si unakuaga mjaja, ukitaka leo story unaanzaga jana ,
Ukitaka kula we hukunjanga na njaa mamaa
Ka unataka siwezi sema hapana
Najua unapenda vacation already...
Kwenye bahari ka session already..
I know you know my intention already....
Juu wendo funguo wanguu ooh oohhh...
Kila siku kwetu mpenzi ni valentine
Naona imefika matyme we hupenda kusip kawine
Red or White baby ni mambo ya kingoso
Nimekuja na yako kiboko chocolata rosso
Why...why..why.. love usiooo you my lover ×2
Haijalishi kama hawatupendi
Mipango zetu baby ziko ready..
So dress to kill ,mimi niko ready...
Tamu kama rhumba kenyaaa....
Mtoto mi simind ,kupika chiko,..
Ukitoka wera umechoka ,
Sana jioni najua unapenda mandem aa simply Yaba..,
Si unajua wendo girldem.
I thick I thick I was born ready ..
Ata mahari baby niko ready....
Niko na off so many baby...
Juu foundation baby iko setee...
Najua unapenda vacation already...
Kwenye bahari ka session already..
I know you know my intentions already...
Juu wendo sumbua ga wanguu ooh
Why ..why why love usiooo you my lover ×4
tamu kama rhumba ke..
tamu tamu ka rhumba
ta tamu kama rhumba kenya.