Me Nakwenda We Unabaki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro;
Mzuli touchez right here
Yeyeayeah
W I n t u
Hapo kwanza nichekie
Chorus:
Me nakwenda we unabaki*4
Okey
Verse;
Dem shit
Dem gang
Dem fame
Say ma nigger nistar
Naumiza naumiza
Nakuja unavunga na paa
Wanaongea shit hey!
Wanasema mimi
Narudi narudi narudi utabaki utakaa
Eeeh!
Am just wanna try
I just wanna try *2
Chorus:
Me nakwenda we unabaki*4
Okey
Verse;
Toka tifu kamilifu
still nagain fame
hakuna wakunipata
wala wakunikamata
mzuli nakimbiza
kitaa kukiwakilisha(thank u lord)
bless sana bless sana
wanangu wa hazina
still nawakilisha
thank sana thank sana
wanangu wa maisha
bado nawarusha
kimbiza mchamchaka
hakuna wakunipata
game nafunika
mpaka mwisho wa maisha
Chorus: