Matunda Yao (feat. Kazungu) Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Intro
Matunda yao..
Oh ohoo…
Matunda yao…
Oh nana, oh nana aa..
Verse
Neno lake lina sema
Tutaishi kwa imani na wala sio tunavyoviona aa..
Umaarufu uko mbele ya vyote Christo alivyotufunza aa..
Tumewacha njia zake na kufata zile zinazopotosha aa..
Ah aa…
Bridge
Haiwezekani kumpendeza Bwa..na pasipo na imani
Nasema ni vigimu kumpendeza Bwa..na ila kwa imani
Haiwezekani kumpendeza Bwa..na pasipo na imani
Nasema ni vigimu kumpendeza Bwa..na aa…
Chorus
Utawajua kwa matunda yao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Na wala sio wafuasi wao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Matunda ni upendo, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu
Utawajua kwa matunda yao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Verse
Machungwa kwenye mwembe hio haha..
Ni kama zabibu kwenye miba, hio bala
Taka kwenda mbio kwenye tinga, sio hapa
Utawajua kwa matunda yao oo..
Utapandaje mahindi na kutarajia kunazi
Ama mboga ya kunde na kutarajia kabeji
Usidanganywe mwezangu upandacho ndio utavuna
Ndio maana na sema..
Bridge
Haiwezekani kumpendeza Bwa..na pasipo na imani
Nasema ni vigimu kumpendeza Bwa..na ila kwa imani
Haiwezekani kumpendeza Bwa..na pasipo na imani
Nasema ni vigimu kumpendeza Bwa..na aa…
Chorus
Utawajua kwa matunda yao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Na wala sio wafuasi wao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Matunda ni upendo, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu
Utawajua kwa matunda yao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Interlude
Tubaki ndani Yake Naye ndani yetu
Kama tawi lilo kwenye mzabibu
Maana pia Christo aliyapiti…ya aa..
Bridge
Sababu haiwezekani kumpendeza Bwa..na pasipo na imani
Nasema ni vigimu kumpendeza Bwa..na aa..
Chorus
Utawajua kwa matunda yao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Na wala sio wafuasi wao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Matunda ni upendo, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu
Utawajua kwa matunda yao oo..
Oh nana.. oh nana aa..
Oh.. oo.. matunda yao..
Matunda yao oo..
Mmm..