Love You Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Love You - Bob Junior
...
Ooh mchumba..
....
Mengine hayasemeki mana kuna muda naliliaga ndani,
Ye anajifanya hajui, haoni au ndo anachukulia matani,
Mana nishatumaga sana vocha na sijui anampigiaga nani?
Bora hata shingo haya maji yamenifika puani,
.......
Ningekugusa acha ning'ate,
Au wachoma moyo wake,
Namwambia ananipenda ye ananijibu ASANTE,
Oooh Nana nana.. ×2
I wish you know,
How i feel,
You blow my mind
Mwili unaupa joto kweli umenikamataaa
Bcoz I love you, am in love with you
Coz I love you, aaam in love with you