Nitetee Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitetee - Sultana (TZ)
...
VERSE ONE
ooh amenituliza siutani ananipa more
acheni nideke mahabani
me napenda nkishika zaga kila m'buyu na shetani
yeye ndio miamore sijimudu me tahabani
jinsi napatwa na kite te
akinishika ni make Keke
kimeumana mbaka che Chee
kwenye baridi nikumbate tee
BRIDGE
mmmmmmmmh
wanaosema piga pini nguvu ya penzi tumeganda
(GANDANAA)
wenye maneno ya chini chini inawachoma kuonatunapendana
CHORUS
kwenye shida unitete sitaki uniteme (haae haae)
jinsi navyo kupenda me sitaki uniteme (haae haae)
kwenye shida unitete baby sitaki uniteme (hae haae)
jinsi navyokupenda me sitaki unitemeee (haae haae)
VERSE TWO
AAH penzi usifanye mzani ukayumbisha moyo wangu.
maumivu sitamani mpenzi nitunzie kidani changu.
tuvilingane hubaani zigusane yako na yangu.
wendo mwangaza gizani naiyona ramani ya penzilangu.
unanipa me vyote vya bara na pwani
mwingine sidhani daima ni wewe na Mimi
mmmmmmmmh
kama kiapotule penzi lakoshule unanifundamwandani
leta chochote tule sitosusa bure nikuite wahubani
BRIDGE
wanaosema piga pini nguvu ya penzi tumeganda
(GANDANAA)
wenye maneno ya chini chini inawacho kuonatunapendana
CHORUS
kwenye shida unitete sitaki uniteme (haae haae)
jinsi navyo kupenda me sitaki uniteme (haae haae)
kwenye shida unitete baby sitaki uniteme (hae haae)
jinsi navyokupenda me sitaki uniteme (haae haae
AAAAAAHA
OOOOOOHO