Inauma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Inauma - Jerry Ogallo
...
Big G ushatafuna ukarudisha utamu wa uvivu
mapenzi yangu ushapima ukaona sitoshi ya uvivu
Ahadi zote ulinipa kumbe chocha, kweli fala mimi
Mtalii ushazuru vya kwetu ukaponda uko fiti
"Tulikotoka ni mbali
Bila wewe hakukaliki nyumbani
Siku hizi kuonekana gizani
Front seat magari ya kifahari
Ooouu Sheri eehh,mbona kunibeba kama bwege
Oouu Sheri eehh,mapenzi si pesa upande ndege
Inauma sana,mi nalia mama
Inauma sana,nalia Suzana
Inauma sana"
Mara Kwa mara nishamwomba wangu Maulana
anipee kimagu kuepuka na majanga
Ona ujana mali umenifikisha
Ona tujana nilijua nimefika
ya wazazi pia minikapuuza
eti tunapendana kufa na kupona
uuuuh
"Tulipotoka ni mbali
Bila wewe hakukaliki nyumbani
Siku hizi kuonekana gizani
Front seat magari ya kifahari
Ooh sheri eehh mbona kunibeba kama bwege
Oouu Sheri eehh mapenzi si pesa upande ndege
(Inauma sana, minalia mama
Inauma sana, nalia Suzana
Ianuma sana ×2)"