Wakilisha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Hey yoh Liquid
puff puff... Cough. Cough
Pass that shit
Tuliza mapepe niliwacha kuseti, Msela ni vipi je unauza gazette?
Kila siku uko daily kunichongea sipendi
Ona ma headlines wame step aside wameshiba wame nice
Wameiba walai na roll the dice, mulikwa kwa lines
It’s my time to smile no Joke no Lies
Industry ina rise nime fika kwa site
Royalties you must give me for the art
Is my only flight from ashes to dust
Juu poverty line inakill the man
Wana cry wana die bila ku shine, Tuna wakilisha wakiparara
Tuna watetemesha si tuki Ngara, nipe airplay juu sifanyi crime
Ni weed na smoke niki write ma lines.
Chorus
Tuna wakilisha Tuki ngara Tuna watetemesha Tuki ngara
Tuna wapararisha tuki ngara Tuna wakilisha Tuki ngara X2
Yeh washa parara, wacha panganga… washa parara, wacha panganga uta pagawa,
Nawa pararisha kwa Beat ka Kanjo kwa street waki hunt hii bizz
Keni Don msani nachoma C.V, Nipe ngata na Kiberiti
Washa mataa napita wana tii, nashine na nga’aa
Skiza Mama mawaidha infaa I’m now the man,
Nilikuja ku learn ukishika hizi cash rafiki ana jam ana jam ana jam
Juu asha parara ana pagawa, asha parara wacha panganga wana pagawa,
Tuliza mapepe niliwacha…
Chorus
Tuna wakilisha Tuki ngara Tuna watetemesha Tuki ngara
Tuna wapararisha tuki ngara Tuna wakilisha Tuki ngara X2
Niko back left nimeka next, to my Empress,
GOD ameni Bless ameni Bless ameni Bless
Cheki progress no more stress, naji protect the way I know best,
Nisichimbe grave kwa hii contest
Nipe snare na kick niwazike 6feet
Wamechapa wame beat, na come na heat,
Na grow na evolve, Mundo msingi niko fit niko fit
Nimepandwa ka seed Nakula na dishi na chakula ni mbichi
wapi wapishi wame strike no teaching
Niki die today nita rise again in the fame in the game
Na burn ka flame Skiza ma men Cheki top 10 competition dead
Niki pop again so come again
Chorus
Tuna wakilisha Tuki ngara Tuna watetemesha Tuki ngara
Tuna wapararisha tuki ngara Tuna wakilisha Tuki ngara X2
Mac-Dee