Kumbe Lyrics
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2022
Lyrics
Kumbe - Fonabo
...
Haaaayee Kumbe!
Haaaayee Kumbe!
Haaaayee Kumbe!
Kumbe kumbe! Kumbe kumbe!
Kumbe kumbe! Kumbe kumbe!
Hayaa! Ya muwe lero
Mama… mama… maaa ayaya yaya
Dunia ni mzunguko
Na njia ya kutokea haipo
Ukishazama, umepotea huko
Sa bhebhe, mama bhee…!
Mingi mitikisiko
Malumbano na vitisho
Kushikamana nako hakupo
Dunia ya leo, sabha bhe
Kuna lawama na fedheha
Magonjwa yameenea
Ukiwa mpole utadharauliwa
Ni vita tu dunia ya leo
Haya yaya kumbe kumbe
Haya yaya kumbe kumbe
Sikujua Dunia lawama
Ningebaki tumboni kwa mama
Nisingetoka mpaka kiama
Kumbee yayaa
Kuna lawama na fedheha
Magonjwa yameenea
Ukiwa mpole utadharauliwa
Ni vita tu dunia ya leo
Haya yaya kumbe kumbe
Haya yaya kumbe kumbe
Twauwana
Aye iye aye iye
Twabaguana kumbe
Aye iye aye iye
Aya aya yayaya haya