Party Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Naona pombe Kila corner zimejaanga
Naona Kila mtu tu anajibamba
Na dj kucheza ngoma safi sana
Ni macider mawhisky hapa savannah
Tumekuja kujitibu bila dawa
Shika Dem shika Chali wacha blunder
Sahau shida mahali ulikotoka wacha bana
Ni weekend imefika kuchoma nyama
Naona party zimeshika huku
Naona party zimeshika huku
Watu wengi wanasema eya eya
Watu wengi wanasema eya eya
Nyumirwa mziki nyumirwa kuchakala
Njagala bulamu njagala kudigidia
Ile designer ya mizuka kupandishanga
Na vile banger inagonga inatishangaa
Naona party zimeshika huku
Naona party zimeshika huku
Watu wengi wanasema eya eya
Watu wengi wanasema eya eya
Eee wacha katambe
Kaende wacha katambe
Kila mtu sasa twende wacha katambe
Wolan nasema eee wacha katambe
Kaende wacha katambe
Kila mtu sasa twende wacha katambe heyee
Naona party zimeshika huku
Naona party zimeshika huku
Watu wengi wanasema eya eya
Watu wengi wanasema eya eya