Acha Niringe (feat. Janeth Mwani) Lyrics
- Genre:Spirituals
- Year of Release:2022
Lyrics
K star
VERSE 1;
Nimekombolewa na damu ya thamanii mie
Nimenunuliwa na damu ya thamanii mie mieeee eeh eeh oohoohoo Nimenunuliwa na damu ya yesu ya thamaniii miee
Mieeee eehee eehee Nimenunuliwa na Damu ya yesu ya thamanii miee
CORUS;
Acha niringee ehee niringe nayee ..(Ahaaa) Niringe na yesu
Acha niringe mie niringe nayee ....(Ahaaa) Niringe na yesu
Acha nitambe oohoo Nitambe nayee.... (Ahaaa) Nitambe Na yesu
Acha nitambe eeeh Nitambe nayee.... (Ahaaa)Nitambe na yesu ...
MUSIC
VERSE 2;
Pale Calvary nimefanyika mwanaa ,
Pale Calvary nimesamehewaa,
Pale calvary nimekombolewaa, Pale calvary mizigo yangu Ameichukua, pale calvary dhihaka zote ameziondoa, Maumivu yotee Ameyafutaaa ahaa
CORUS;
Acha niringee ehee niringe nayee ..(Ahaaa) Niringe na yesu
Acha niringe mie niringe nayee ....(Ahaaa) Niringe na yesu
Acha nitambe oohoo Nitambe nayee.... (Ahaaa) Nitambe Na yesu
Acha nitambe eeeh Nitambe nayee.... (Ahaaa)Nitambe na yesu ...
VERSE 3;
Mimi nishakuamini Kama ulivyo nisihiii ,Maaana ni nani atoke wapi asimame badala yako,Abebe hatima zetu,Abebe mizigo yetu, Apigwe kwa ajili yangu mimimimi mimiiii, Yeye Aliona sababu kuniokoa mimii Tena aliona sababu kunikomboa mimii, Let me say Bwelele bwelele Ananipenda Bure ,Bwelele Bwelele Ananirinda Bure, Bwelele Bwelele Ananitunza Bure ,Bila ya yeye Ujanja huu ningetoa wapi,Bila ya yeye jeuri ya Dunia ingetoka wapi
Mieeeeeh oohooo oohoo Nimenunuliwa na damu ya yesu ya thamanii mie
Mieeeeeh eheeeeheee Nimenunuliwa na Damu ya yesu ya thamanii mie
KIBWAGIZO;
Acha Niringe (niringe naye) (oohoo niringe)Niringe Na yesu
Acha niringee (niringe naye) niringee na yesuu (Niringe Nayee)
Acha nitambe (Nitambe nayeee) Ohoohoo nitambe (Nitambe na yesu) nitambee na yesu wanguu (nitambee nayee) oohooo nitambee eeh (Nitambe na yesuuu)
MUSIC .......
KIBWAGIZO;
Niringe nayeee,
Niringe na yesuuu
Niringe nayeee
Niringe na yesuuu
Nitambe nayee
Nitambe na yesuuu
Nitambe nayeee
Nitambe na yesuuu
K star
Lyrics By Shababi Essau