Loading...

Download
  • Genre:World Music/Folklore
  • Year of Release:2017

Lyrics

Acha Tamaa - Fm Academia

...

Verse One


Kabeya


The lack of money is the roots of all kind of evil,

pay attention, john baba kelvin bros, F Disco Masori aweeh, |



Acha tamaa mwanangu yoh,

Amenikanya mama aliyenizaa,

Jichunge yeyeh, amesema nami yoyoh,

Tukitafuta pesa juu tutaibaa, tabia mbaya,

Hakuna aliyezaliwa ni mwizi, savior kandoro papaa,

Hakuna aliyezaliwa ni kahaba, isaa mambo peti fire,

Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafuta Pesa,

Binadamu hukubali afanye mambo ambayo hata si halali juu ya pesa,

Yuda alimuuza bwana Yesu, kaini alimuua abel,

Vijana wanaopenda sugar mamies ukiwauliza, eti pia wanatafuta,


Acha tamaa mwanangu yoh,

Amenikanya mama aliyenizaa,

Jichunge yeyeh, amesema nami yoyoh,

Tukitafuta pesa tutaibaa, tabia mbaya,

Hakuna aliyezaliwa ni mwizi, savior kandoro papaa,

Hakuna aliyezaliwa ni kahaba, isaa mambo peti fire,

Tabia hizo mbaya twaziiga tukitafuta Pesa,

Binadamu hukubali afanye mambo ambayo hata sio halali juu ya pesa,

Yuda alimuuza bwana Yesu, kaini alimuua abel,

Wasichana wanaopenda sugar dadies ukiwauliza, eti pia wanatafuta,


Kama hutushambulia tunapotafuta pesa,

Ama shuleni haujaendaa, maisha mazuri usitamani,

Martin Kasanju tajiri, jua ile bahati yake,

Wakoloni wameenda amebaki tu moja, pesa,

Sisi wote nyuma yake tajiri maskini,

Pesa tu wewe kama ni wengi wanazo hujui wazipata vipi, acha tamaa,

Nionyeshene mutu yule tajiri na hajafanya kazi yooh,

Ninavyojua Mimi papaa vitaa omaya, utajiri tena ni kuwa na secret,

Kama kuna masikini, kupata ama kukosa apangaye ni mola,

Mnyonge akilia chozi ni kama la damu,

Shida haina huruma jama, jali hata masikini huoni,

Tamobadiliwa pededje ndama, tamobadiliwa tu makambo yeeyee,

Ida acha tamaa, tuimbe, erick acha tamaa, tuchezee, similiee alfabee na beleli mosika, misona yo mamaa, iyeyeyee, uoohh, yeyee, uooh, yeyeeh


Tamaa ilimua fisi waswahili wamesema, tamaa ya wivu mbaya haifai yakutuma kuiba au kuua,

Hii yakutamani vitu visivyo vyetu kennedy mutulu,

Knowledge is power irene wafula yooh,

knowledge is power letie mama na trezoo

Knowledge is power pededje felicie,


Chorus


Kitu muhimu mama amenikanyaa acha tamaa,

Tamaa ya wivu mbaya kuondoa kwa njia halali,

Bahati ya mutu usiilalie mlango wazi,

Juu ya kwako ya kweli kweli mbele huko uendako mwanangu eeh,


Kitu muhimu mama amenikanyaa acha tamaa,

Tamaa ya wivu mbaya kuondoa kwa njia halali,

Bahati ya mutu usiilalie mlango wazi,

Juu ya kwako ya kweli kweli mbele huko uendako mwanangu eeh,


Verse 2


Kabeya


Dunia nzima ni ya molaa [nzambee],

Ana mipango mingi juu yako hujui eeh,

Alikuumba anajua kwanini eeh,

Acha tamaa Elombe Kichinja,

Acha tamaa Saidi Comorien,

Acha tamaa ima dogoo,


Tamaa ya wivu mbaya haijengi na inabomoa,

Moyo wangu epuka tamaa,

Moyo wangu eeh epuka tamaa,

Moja nitaacha, mbili nitasita,

Dunia ya leo haina dhamana eeh,


???????????

???????????


Pablo masaai


Lora masaai mama lucia eeh,

Kamwe sitosahau usia wa wazazi wangu,

Kuishi kwingi jamani ni kuona mambo mengi, mama d, papa taris mzee wa muheza, lulu masai,

Pabe na mapambano, sikiliza ushauri wangu, nakusihi acha tamaa.

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status