Kama Vipi Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Kama Vipi - Mez B
...
Basi kama vipi nataka kwenda na wee
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote ata maishani honey twende tukaplay
Tabia hii naomba usiniletee
Jua mi siwezi kwenda na wee
Tafuta mwingine wapo wengi mitahani
Haiwezekani mi kwenda na we
Wewe kwangu mie una thamani
Ndio maana naomba kwenda nawe ata maishani
Mchumba we usinizuge tena kama vipi naomba ukaoge
Akaa mi sitaki hayo nimesema mi sitaki
Utaniliza tena pisha
Tena naomba uachane nami kabisa
Tatizo nini mamaa.. Linasababisha unakataa
Wewe ni wangu mamaa ukikataa utaninyima raha
Basi kama vipi nataka kwenda na wee
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote ata maishani honey twende tukaplay
Tabia hii naomba usiniletee
Jua mi siwezi kwenda na wee
Tafuta mwingine wapo wengi mitahani
Haiwezekani mi kwenda na we
Basi kama vp bora kubali mchumba
Ueende ukawaone wanachemba..
Wakiwa stejini wakitamba toka istizuu yani wanarap na kuimba
Aah najua basi itakuwa burudani
Kama wanachemba wote mtatoa burudani
Ahidi kuwa pamoja nami usilete mapepe tukifika hata maishani
Sijui DJ leo atakuwa nani
Sijui siwezi leta fujo mitamboni
Mi nakuita sinyorita
Twende wote kupari na kula bataa
Basi kama vipi nataka kwenda na wee
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote ata maishani honey twende tukaplay
Basi dear njoo chumbani tuvae
Nimekubali mi kwenda na wee
Ni furaha kuwa nawe hata maishani
Honey twende tukaplay
Usione aibu kwani ndani tumeshafikaa(aah.. aah)
Sogea karibu kata kiuno tingishika(aah.. ahh)
Njoo tuchezecheze kwa mapozi uku ukideka
Ringa ringa zungusha kiuno mtoto wa afrika
Basi kama vp ma twende tuzame deep
Unapendeza ukiwa na mi nionyeshe unavyonipenda
Zip mi nawe ndan ya jip izo n'kiss
ntawaumiza wanachemba
Uhh ma leo umetoka sex
Umeng'aa ndan hizo pamba nyepesi
Huku Mez B pembeni na Ray C
Ni Noorah njoo tung'ae wote baby
Basi kama vipi nataka kwenda na wee
Au kama vipi nenda kajiandae
Basi kama vipi twende wote ata maishani honey twende tukaplay
Basi dear njoo chumbani tuvae
Nimekubali mi kwenda na wee
Ni furaha kuwa nawe hata maishani
Honey twende tukaplay