One N Only Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
One N Only - MIRROR
...
Kama mapenzi wanasema niwawili
mama
Maneneno yasije fanya tukaachana
Naomba niamini nakupenda sana
ooohh ee o00
Ata ukisema unapokwenda mi nitakwenda mama
Kama ukiwa mbele niko nyuma maa
Tuende wapi jua baba na mama ooohh
wee oo
Mapenzi si kama zamani kuniliwaza tu chumbani
Kesho maneno mtaanii yiiyii yiiiyii eh eh
Ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda babee
Mapenzi ni wew na mie si unanipenda Darling Tufunge na ndoa za maisha honey honey ee
Namuomba mollah akutunze kama neno zuri la imani
Yaarabi mollah akulinde mama,
mamlna mi nakuthamin
Naomba mola akutunze maana we ni
wangu wa thaman
Yaarab mollah akulinde mama maana
Yo ma number one wee my one and only nakupenda baeby yo my number one my one and only ee nakupenda baeby
Ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda baeeby2
Asamualeykum mama we me nataka
nkuoe nkikupata i get pay pay 2
Kwenye mapenz kama we hajatokeaga joh bila we nivip me ntalalaga naomba niamin nayosema mama ooh weooo I say without you girl i go cry cry cry you go make me die die die yo love nt a lie lie lie yo go make me touch the sky sky sky make me so fly fly fly yo love not a lie lie lieNamuomba mollah akutunze maana we ni wangu wa thaman yaarab mollah akutunze maanYo my number one my one and onlynakupenda baeeby2 Ukweli me nakupenda wew nakutaka wew nakupenda baeeby2