Utabaki Kua Mungu Lyrics
- Genre:Soul
- Year of Release:2017
Lyrics
Utabaki Kua Mungu - Addo November
...
Utabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu
Jehovah Shama!
Utabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu
Jehovah Shama!
Utabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu
Utabaki kuwa Mungu
Jehovah Shama!
Bwana ulisema, Bwana ulisema
Bwana ulisema, wanipenda
Bwana ulisema, Bwana ulisema
Bwana ulisema, wanipenda sana eeh
Dunia nzma iniache
kama wewe wanipenda
Mimi sitapungukiwa na Chochote
Ndomaana leo ninaimba
Watu wote waelewe
Kwamba wewe ndiwe Mungu,
Jehovah Shama!