SAWA Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2022
Lyrics
Sina hata chembe ya furaha maana nahisi we umeondoka nayo
Niu kungu naona kiza mpaka nahisi we umenichota nyayo na siwez lipiza
Nnajua mfuko ndo ulikua shida
Uka disappear
Ukula ukashiba
Pengo lako nani ataliziba
Mwenzako naumia
Kama mgonjwa nishakosa tiba
Sawa sawa sina namna
Nasijawaza nilipize
Sawa sawa sina namna
Bawa sawa sina namna
Basi kauli zichunge
Sawa sawa sawa sina namna
Mie nilie fanya wema ukanilipa kwa ubaya
Kiroho mbaya
Hasa ya ndani unayasema
Unanitangaza
Tena kwa ubaya
Hivi umepatwa na roho gani maana huna hata stara
Vimichezo vya chumbani umefanya biashara
Najua mfuko ndo ulikuaga shida ukadisappear ukula ukashiba
Pengo lako nani ataliziba mwenzako naumia na kama mgonjwa nishakosa tiba