Taxpayer ft. John Mo're, Katapilla & Vintage De DanceHall Prefect Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Serekali No! No! No!
Serekali Serekali No! No!
No! No! No!
Serikali No! No! No!
No! No! No!
Eyah Eyah
Serekali inatuchomeaaa ni maloan kibao na pesa zetu ndo zinazidi poteaaa (No no)
Utaokotwa kwa njia mahutututi ukijaribu kuongeaaa
Na hii hapa ni kilio kilio kilio ya Taxpayer
Kilio
Ahah
Kilio
Haha
Kilio
Ha... ya Taxpayer
Kilio
Ahah
Kilio HaHa
Kilio
Ha...
Ya Taxpayer
Kilio kilio kilio ya Taxpayer
Kilio kilio kilio ya Taxpayer
Miaka kumi na sita shuleni I've been filing my papers
Na nkitoka unataka nifile no returns eti akuna kazi no paper
Si ni Jana juzi mulipata tender...
Tuonyeshe wapi mulipeleka madoh... Kwendaaa
Eti kazi pamoja mbona wajitenga
Wafanya rally mi siwezi fanya show (Kwendaaa)
Serekali inatuchomeaaa ni maloan kibao na pesa zetu ndo zinazidi poteaaa
Utaokotwa kwa njia mahutututi ukijaribu kuongeaaa
(Nooh Nooh No! No!)
Na hii hapa ni kilio kilio kilio ya Taxpayer
Nooh No
Kilio
Ahah
Kilio
HaHa
Kilio
Ha... ya Taxpayer
Kilio
Ahah
Kilio HaHa
Kilio
Ha... ya Taxpayer
Kilio (Ahah) kilio kilio (Ha) ya Taxpayer
Kilio (Ahah) kilio (HaHa) kilio (Ha) ya Taxpayer
Huu mwaka ni lazima niomokee eeeh
Na ndo niomoke lazma wanasiasa wavivu watoke wote wote
Wenye fitina uwongo ubaguzi
Lazma tuwabadilishe kwa uchaguzi
Hawataki tubonge ati tumekam juzi
Na mzazi ameshindwa ata kupata kamchuzi
Kilio
Ahah
Kilio
HaHa
Kilio
Ha... ya Taxpayer
Kilio
Ahah
Kilio... HaHa
Kilio
Ha... ya Taxpayer
Kilio (Ahah) kilio kilio (Ha) ya Taxpayer
Kilio (Ahah) kilio (HaHa) kilio (Ha) ya Taxpayer
The government a treat we... like this a fools party
No we no tough like concrete
Money you fi ask from foreign
No engagement in making choices
Corruption big man Pon top
Mr B n G just raise the tax high
Food prices you make gwaaan up
You no see say mi can't pay the rent again
Serikali No! No! No!
Serikali Serikali
No! No! No!
No! No!
Serikali No! No! No!
No! No! No!
Eyah Eyah
Serikali inatuchomeaaa ni maloan kibao na pesa zetu ndo zinazidi poteaaa (No no)
Utaokotwa kwa njia mahutututi ukijaribu kuongeaaa
Na hii hapa ni kilio kilio kilio ya Taxpayer