Loading...

Download
  • Genre:World Music/Folklore
  • Year of Release:2019

Lyrics

Kishindo Cha Wakoma - Yewubdar Seble

...

Kishindo

cha wa wakoma

kiliwakimbiza washami. x4

Mungu akiwa upande wetu

ni nani alie juu yetu . x2


Njaa ilipowakabili

wenye ukoma, walio tengwa

wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa

ni bora twende kambi la washami.

ni maadui zetu siku zote

twendeni tuombe chakula

na tena huenda tukauawa

lakini bora twende kambi la washami . x2



walipokaribia kambi la washami

washami wakasikia kishindo cha magari.

kishindo cha magari ya waisraeli

na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma

zilijawa uwezo. x2


kishindo cha wakoma

kiliwakimbiza washami . x2

Mungu akiwa juu yetu

ni nani alie juu yetu . x2


wahitaji msaada ndugu?

je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza. x2


waweza kumuita Elishadai

waweza kumuita Adonai

waweza kumuita Elohim

Mungu alie karibu na watu . x2


Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi

na tutashinda zaidi ya kushinda

kwa yeye alie tupenda, kwa yeye alie tupenda, kwa yeye alie tupenda. x2

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status